Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Awahutubia Wananchi wa Meata Mkoani Simiyu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Meatu mjini kwa ajili ya kuhutubia katika mkutano wa hadhara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa  Meatu mjini mkoani Simiyu mara baada ya kuwasili wakati akitokea Bariadi. Sehemu ya Wananchi wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza  katika viwanja vya Meatu mjini. Sehemu ya Wananchi wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News