Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Magufuli Awasili Nchini Malawi na Kuaza Ziara Yake ya Kiserikali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwasalimia baadhi ya wananchi waliojitokeza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof.  Arthur Peter Mutharika, Mama Janeth Magufuli pamoja na Prof. Gertrude Mutharika   kabla ya kuweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi Lilongwe nchini...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News