Rais wa Sudan alipiga chini Baraza la Mawaziri

Rais wa Sudan, Omar la Bashir amevunja Baraza la Mawaziri na akamteua Waziri Mkuu mpya ikiwa ni hatua ya kukabiliana na mzozo wa kiuchumi baada ya mfumuko wa bei kufikia asilimia 65. Uamuzi wa kuvunja baraza hilo lililokuwa na mawaziri 31 akiwamo Waziri Mkuu Bakri Hassan Saleh uliridhiwa na chama tawala cha National Congress Party (NCP)....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News