Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Ujumbe wa Askofu Mkuu wa Kanisa La Angilikana Tanzania.Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo  Willium Mndolwa (kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Viongozi mbali mbali wa Kanisa hilo leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa  Kanisa la Anglikana Tanzania ulioongozwa na  Askofu Mkuu wa kanisa hilo  Dkt. Maimbo  Willium Mndolwa (wa nne kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Viongozi mbali mbali wa Kanisa hilo leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News