Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Amemtembelea Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwenyi Nyumbani Kwake Maisara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili, Alhaj Mzee. Ali Hassan Mwinyi, alipofika katika makaazi yake Maisara Zanzibar, kumjulia hali leo mchana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, wakifurahia jambo wakati akimshindikiza baada ya mazungumzo yao.leo alipofika kumjulia hali. ...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 8 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News