Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kusalimiana na Masheikh wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Ikulu Ndogo Kibweni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MheDk Al Hajj Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Dini wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja na Viongozi wa Serikali walipofika Ikulu Ndogo Kibweni kumsalimia baada ya kumalizika kwa Sala Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Masheikh wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, wakati walipofika Ikulu Ndogo Kibweni kumsalimia baada ya kumalizika kwa hafla ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News