Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Amefanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali Katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.  1.OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUMU ZA SMZ.·        Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba                           –  Kapteni Khatib Khamis Mwadini.·               Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A  Unguja            – Bwana Abeid Juma Ali.·              Katibu Tawala wa Mkoa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News