RAV 4 Adventure 2019 ni gari inayokupa uhuru wa nafsi wakati wa kuitumia

Gari hili ni toleo jipya la mwaka 2019 na tulilizindua rasmi Juni mwaka huu. Gari hizi zipo za aina mbili yaani RAV 4 Comfort pamoja na RAV 4 Adventure. Katika aina hizi mbili RAV 4 Adventure ndiyo ina kila kitu ukilinganisha na Comfort....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 9 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News