RC Makonda Akanusha Taarifa za Mo Dewj Kupatikana, Atoa Onyo kwa Wanaosambaza uongo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekanusha taarifa za kupatikana kwa mfanyabishara Mohammed Dewji, na kwamba taarifa zilizosambaa kuwa amepatikana sio sahihi.RC Makonda ametoa onyo kali kwa yeyote atakayeibuka na kuanza kusambaza taarifa za uongo kuhusiana na tukio hili au kuligeuza na kulifanya mtaji wa kisiasa.Amesema msemaji wa tukio hili kwa upande wa polisi ni  Kamanda wa Kanda Maalum Dar Lazaro Mambosasa na kwa upande wa Serikali ni yeye.Katika hatua nyingine,Makonda, amependekeza  kufungwa kwa kamera katika maeneo yote jijini Dar es salam, ili kupata msaada mkubwa yanapotokea...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News