RC Makonda Awahimiza Wananchi Kujiunga Na Rais Magufuli Kuipokea Ndege Ya Sita Ya Serikali Airbus A220-300 LEO Mchana

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawaalika Wananchi wote Wapenda maendeleo kujiunga na Mtekelezaji namba moja wa Ahadi Rais Dkt. John Magufuli kwenye mapokezi ya Ndege ya Sita ya Serikali (Airbus A220-300) itakayowasili Nchini leo January 11 Saa sita Mchana ikitokea Nchini Canada.Hafla ya mapokezi itafanyika kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.Rais Magufuli aliahidi na sasa anatekelezaWANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News