Rekodi walizoweka Wahispania hapo jana Wembley, na habari mpya kuhusu Luke Shaw

England 1 Hispania 2. Marcus Rashford alitangulia kuifungia Uingereza bao la kwanza dakika ya 11 bao ambalo lilidumu kwa dakika mbili tu baada ya Saul Niguez kusawazisha dakika ya 13 na kisha Rodrigo kuifungia Hispania la pili dakika ya 31. Kwanza kabisa kabla hata ya mchezo ule kuanza Wahispania walienda Wembley wakiwa na matumaini, kwani katika michezo 6 kabla ya ule wa jana Wahispania walipoteza mechi 1 tu. Hii ina maana baada ya michezo 7 sasa na ule wa jana, Hispania anakuwa amemfunga Muingereza mara 5 huku Waingereza wakiambulia suluhu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News