Ripoti kifo cha Kabote, kutoroka kwa mahabusu zatua kwa Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola leo Jumapili Juni 16,2019, amepokea ripoti mbili za uchunguzi ikiwemo ya kifo chenye utata cha Isululu Kabote (85), mkazi wa Kijiji cha Buhungukila, Kata ya Bugarama, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News