Ripoti kifo cha Kabote, kutoroka kwa wafungwa zatua kwa Lugola

Na Veronica Mwafisi, MOHA WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amepokea ripoti mbili za uchunguzi ikiwemo ya kifo chenye utata cha Isululu Kabote (85), mkazi wa Kijiji cha Buhungukila, Kata ya Bugarama, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. Kabote alidaiwa kuuawa akiwa mikononi mwa polisi Mei 17, mwaka huu, saa 8:00 usiku. Pia Lugola alipokea ripoti ya uchunguzi wa tukio la kutoroka mahabusu 17, Mei 21, mwaka huu, mkoani Geita. Mahabusu hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali na kuwekwa kwenye Ukumbi wa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News