Ripoti ya CAG: Zittoavuruga Spika Ndugai

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, anamtuhumu Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kujitafutia umaarufu wa kisiasa, kupitia Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni mjini Dodoma labla ya kuahirisha bunge mpaka mchana wa leo tarehe 25 Aprili 2019, Ndugai amedai kuwa, Zitto anatumia taarifa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News