Ripoti yabaini vitisho dhidi ya uhuru wa raia katika baadhi ya nchi za Kiafrika

Katika nchi 12 barani Afrika, zikiwemo Tanzania, Burundi, Uganda, zimepitisha sheria au sera ambazo “zinakandamiza kimakosa” asasi zisizokuwa za kiserikali na jumuiya za kiraia ziko hatarini, taasisi inayofuatilia demokrasia, Freedom House, inaeleza katika ripoti yake mpya....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News