Robinho afunguka Real Madrid walivyoikomoa Chelsea kupitia Man City

Mwaka 2008 klabu ya soka ya Real Madrid waliamua kumuuza mshambuliaji wao wa Kibrazil Robinho kwenda katika klabu ya Manchester City kwa ada ya £32m. Usajili wa Robinho kwenda Man City haukufikiriwa na wengi kwani iliaminika anaweza akaenda Chelsea kutokana na tetesi zilivyokuwa nyingi zikimhusisha kutia darajani. Miaka takribani 10 imepita na hatimaye Robinho mwenyewe ameeleza nini kilichotokea wakati wa usajili wake kwenda City na akisema yeye mwenyewe alitamani kwenda Chelsea. Robinho anasema wakati ule hakuwa anawaza sana kuhusu Man City kwani hawakuwepo Champions League tofauti na Chelsea. Nini kilikwamisha...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News