Rostam Azizi, Mbatia wateta na Magufuli Ikulu

Leo Jumanne Novemba 13, 2018, mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz, wenyeviti wa vyama vya siasa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), John Cheyo (UDP) na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa, John Shibuda wamemtembelea Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News