Rostam kuwekeza Sh bilioni 500

Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya usambazaji gesi ya Taifa Gas, Rostam Azizi amesema wanatarajia kuweka zaidi ya Sh bilioni 500 katika miradi mbalimbali ili kuongeza fursa za ajira na mapato serikalini. Taifa Gas ambayo awali ilijulikana kama Mihan Gas, inayomilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 iliandikishwa mwaka 2005 na kuanza kufanya biashara mwaka 2008. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa ghala na mitambo ya kampuni hiyo iliyopo katika eneo la Kigamboni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Rostam Azizi, alisema wamevutiwa zaidi kuwekeza kutokana na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 26 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News