Sabuni ya kipande hubeba bakteria wengi bafuni

MWANDISHI WETU SUALA la usafi ni jambo ambalo linapaswa kuzingatiwa na kila mwanajamii. Usafi wa mazingira usipozingatiwa ipasavyo huwa ni chanzo cha maradhi ya mlipuko na mengine mengi. Inashuhudiwa kuwa watu waishio katika mazingira machafu ndio wanaoongoza kwa kukabiliwa na maradhi ya kila aina ikiwamo ya ngozi na hata kuhara. Lakini, suala ambalo ni la msingi na linalopuuzwa na watu wengi ni usafi wa bafu (sehemu inayotumika kuogea). Watu wengi wamekuwa hawazingatii usafi wa mara kwa mara wa bafuni na badala yake hujikita zaidi vyooni (kunakotumika kujisaidia) aidha ni kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News