SADC yaridhishwa na demokrasia, utawala bora Tanzania

Na Mwandishi wetu-Lusaka KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dk Stagomena Tax, amesema Tanzania imepewa nafasi ya kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo kutokana na kutimiza vigezo vinavyohitajika na ambavyo ni uwepo wa demokrasia na utawala bora. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Tax alisema hayo baada ya kumalizika mkutano wa 21 wa kamati ya mawaziri kuhusu asasi ya siasa, ulinzi na usalama ya SADC  kinachofanyika Lusaka Zambia. Taarifa hiyo ilisema Dk...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 21 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News