Sadney: Tutawapiga Township Rollers kwao

WINFRIDA MTOI MSHAMBULIAJI wa Yanga, Sadney Urikhob, amesema atahakikisha wanaifunga timu ya Towanship Rollers ya Botswana katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wakiwa nchini kwao na kusonga mbele. Yanga  wanatarajiwa kurudiana na Township Rollers kati ya Agosti 23 na 25 nchini Botswana, baada ya wiki iliyopita  iliyopita kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa awali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na BINGWA jana, Urikhob  alisema tayari wamebaini kitu cha kufanya ili  waweze kukaa sawa na kupata matokeo mazuri. Mshambuliaji huyo, alisema ...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News