Sakata la Pogba kuondoka United lachukua sura mpya, anarudi Serie A?

Kumekuwa na sinema ambayo bado hakuna anayejua mwisho wake kati ya kiungo wa Manchester United Paul Pogba na klabu yake hiyo haswa kocha waoa Jose Mourinho. Ilianza kama fununu ambayo kila siku inaonekana kuzidi kuwa kubwa ikimuhusisha Pogba kuondoka Manchester United kwa kile kinachotajwa kukosa furaha ndani ya klabu hiyo. Hii leo sasa kumekuja taarifa mpya ambazo zinasema wakala wa mchezaji huyo Mino Raiola amepanga kukutana na Juventus mwezi December ili kulimaliza suala hili. Raiola anakutana na Juventus ikiwa ni sehemu ya jaribio la kumrudisha Paul Pogba Juventus, klabu ambayo...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News