Samatta: Misri imetuonyesha njia yakutokea makundi

NA WINFRIDA MTOI NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amesema mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Misri umewazindua kufahamu ugumu watakaokutana nao katika mechi za hatua ya makundi ya AFCON. Taifa Stars juzi ilicheza na Misri ambao ni wenyeji wa michuano ya AFCON mwaka huu katika Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandraia na kufungwa bao 1-0. Akizungumza baada ya mchezo huo, Samatta, alisema wamekutana na moja ya timu bora ya taifa katika nchi za Afrika na imekuwa kipimo kizuri kwao. Alisema ugumu waliokutana nao katika mchezo huo, ndicho...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News