Samia atishwa mmomonyoka wa maadili kwa vijana nchini

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ametishwa na mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana nchini  kutokana na matumizi mabaya ya maendeleo ya sayansi na teknolojia na kulitaka kanisa kupiga vita hali hiyo badala ya kujihusisha na siasa na migogoro ya kiutawala....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News