SAMMATA , NYOTA WALIOBEBA ROHO YA AFRIKA MASHARIKI AFCON 2019

NA SOSTHENES NYONI KWA MSAADA WA MTANDAO MATAIFA manne ya Afrika mashariki yatashiriki fainali  zijazo za  mataifa ya Africa (Afcon), zitakazoanza kutimua vumbi nchini Misri, Juni 21 mwaka huu. Mataifa hayo ni Uganda, iliyofuzu baada ya kuongoza kundi lake huku Kenya, Tanzania na Burundi zikifuzu baada ya kukamata nafasi ya pili. Tofauti na mashindano yaliyopita, safari hii nchi zitakazoshiriki michuano hiyo ni 24, baada ya Shirikisho la Soka Afrika(Caf), kuongeza idadi kutoka16 ya awali. Mara ya mwisho, Afrika Mashariki iliwakilishwa na Kenya na Rwanda, mashindano yaliyofanyika nchiniTunisia, mwaka 2004, ambapo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News