Sangoma wa Man United kiboko, Cavani naye kaumia

KAMA Manchester United inatumia mganga kuelekea mechi yake ya kesho ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG basi inabidi imlipe dau la kutosha. Anaendelea kufanya mambo. Na sasa PSG itamkosa staa mwingine katika pambano la kesho Jumanne, Edinson Cavani....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News