Sarri aeleza kwanini hakumshika Guardiola mkono

Baada ya chelsea kutandikwa kipigo cha goli 6 kwa bila na mahasimu wao Man City kizaazaa kimezuka na maswali mengi mara baada ya Sarri kugoma kumpa mkono kocha wa Man City mara baada ya mchezo huo. Guardiola amesisitiza kuwa alisalimiana na Zola (Kocha msaidizi wa Chelsea) na anadhani Sarri hakumuona. Hat trick tokea uanze mwaka 2018 ni 11 Sergio Agüero Mohamed Salah Aaron Ramsey Eden Hazard Roberto Firmino Diogo Jota Hata hivyo Mabao matatu aliyofunga Aguero yanamfanya kufikisha Hat trick 11 sawa na Alan shearer na kuwa vinara wa Hat...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News