Scholes awaaminisha United kwa Barcelona

MANCHESTER, ENGLAND KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, anawaaminisha wachezaji wa timu hiyo kuwa, wanaweza kuishangaza dunia katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Barcelona kutokana na kiwango cha wapinzani hao kwa sasa. Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali unatarajiwa kupigwa kesho kwenye uwanja wa Camp Nou, baada ya mchezo wa awali wiki iliyopita ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford na Man United kukubali kichapo cha bao 1-0. Scholes anaamini kuwa Barcelona msimu huu hawana ubora mkubwa kulinganisha na wababe wa soka...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News