Sekta ya mifugo Kuchangia Asilimia 9 ya Pato la Taifa

Wizara ya Mifugo na Uvuvi inatekeleza mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya mifugo unaotarajiwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka asilimia 6.9 hadi 9%.Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Abdallah Ulega amesema bungeni jijini Dodoma kuwa, utekelezaji wa mkakati huo pia unatarajiwa kukuza sekta ya mifugo kutoka asilimia 2.8 hadi 5.2%.Wakati anajibu swali la Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvester Koka, Ulega amesema, mkakati huo una lengo la kupunguza na kuboresha mazingira rafiki na endelevu katika uzalishaji mifugo yenye tija kwa kuzalisha mitamba milioni moja kwa mwaka.Wabunge wameelezwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News