Serengeti Boys yaanza vibaya Afcon U17 ikilala mabao 5-4

TIMU ya Taifa Tanzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' imepoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kukubali kufungwa mabao 5-4 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa kwanza wa ufunguzi Fainali za Vijana Afcon 2019 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News