Serengeti kupewa makali Qatar

Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kuondoka nchini Machi 20 kwenda Doha, Qatar kuweka kambi ya mwisho kabla ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zilizopangwa kuanza Aprili 14 hadi 28, Dar es Salaam....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News