SERIKALI IMECHUKUA UAMUZI SASA KURUHUSU MABASI

Serikali imetangaza rasmi kuwa wimbi mbili zinajazo itaruhusu wamiliki wa mabasi kuanza safari zao za kwenda mikoani saa 11 alfajiri. Uamuzi huu, umekuja baada ya kuwapo  na kilio cha muda mrefu kutoka kwa wamiliki kuwa, muda mwingi umekuwa ukipotea kutokana na ukaguzi unaofanywa katika stendi  kuu ya mabasi Ubungo, Dar es Salaam. Pamoja na hayo, wamiliki hawapingi ukaguzi, lakini walikuwa wakisitishwa na upotevu wa muda mwingi, kwa mfano basi linatakiwa kuondoa kituoni saa 12:30 asubuhi, lakini kutokana na muda mwingi wa ukaguzi hujikutana linaondoka saa mbili kasoro robo. Hali...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News