Serikali Kukuza Uchumi Kwa Kudhibiti Fedha za Ziada Katika Mzunguko.

Na.Peter Haule. Dodoma.Fedha za ziada kuwepo katika mzunguko wa uchumi sio kigezo cha kukua kwa uchumi wa Taifa bali ni ishara ya Taifa hilo kushindwa kudhibiti ukuaji wa uchumi wake.Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Konde Mhe. Khatib Said Haji, aliyehoji kuhusu dhana ya kukua kwa uchumi nchini ilihali kuna upungufu wa uuzaji bidhaa nje na wananchi kukosa fedha.Dkt. Kijaji alieleza kuwa matatizo ya kuwepo kwa fedha za ziada katika uchumi ni makubwa, hivyo inapongezwa hatua ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kudhibiti hali hiyo kwa manufaa ya ukuaji wa uchumi wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News