Serikali watia msisitizo viboko mashuleni

SERIKALI imepiga marufuku walimu kuwachapa viboko wanafunzi kinyume na utaratibu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Agizo hilo limetolewa leo tarehe 13 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu, William Olenasha, ambapo amesema mwenye ruhusa ya kumchapa mwanafunzi viboko ni mkuu wa shule tena kwa sababu maalum. “Marufuku mwalimu kumchapa mwanafunzi kinyume na ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News