Serikali ya Kenya yamkana Jaguar, Bunge kumchukulia hatua

Anna Potinus Serikali ya Kenya imekanusha kuhusika na kauli aliyoitoa Mbunge wa Starehe nchini humo, Charles Njagua maarufu Jaguar, aliyewatuhumu raia wa kigeni wakiwamo Watanzania kuchukua biashara za Wakenya na hivyo kuwataka waondoke ndani ya saa 24. Katika video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii jana, Mbunge akiwahutubia wananchi nchini humo pia alitoa saa 24 kwa Serikali ya Kenya kuwaondoa raia hao na wasipoondoka  watawapiga na kuwaamuru kuondoka kwa nguvu kauli iliyoshangiliwa na wananchi wakionyesha kuunga mkono suala hilo. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguna, imesema serikali...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 26 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News