Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Yakabidhiwa Kiwanja cha Heka 30 Mji wa Serikali Dodoma

Na: Lilian Lundo – MAELEZOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameikabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) hati ya kiwanja chenye ukubwa wa heka 30 kilichopo Mji wa Serikali Jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza ujenzi wa ofisi Jijini humo.Makabidhiano hayo yamefanyika jana wakati wa kikao cha kamati ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika Jijini Dodoma.“Serikali ya Mapinduzi Zanzibar tunawakaribisha Dodoma, wenzenu tumeanza na nyie tunawategemea...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News