Serikali ya Oman Yakabidhi Mashine za Kisasa za Kuhifadhia Nyaraka na Kumbukumbu Kwa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Zanzibar.

Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Kilimani Zanzibar. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akionesha hati za makabidhiano ya Mitambo ya kutunzia Nyaraka na Mwenyekiti wa Mamlaka yay a Uhifadhi Nyaraka na Makumbusho wa Serikali ya Oman, Dk. Hamed Mohammed Al Dhawiyan kulia, wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano iliofanyika katika Ofisi ya Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Kilimani ZanzibarWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akitowa shukrani baada...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News