Serikali yaanza kugawa bure mafuta kwa wenye ualbino

Serikali imeziagiza hospitali ngazi ya mkoa na wilaya nchini kuhakikisha wanapoagiza dawa na vifaa tiba kutoka Bohari ya Dawa (MSD), wanaagiza mafuta ya kinga ya ngozi kuzuia miale ya jua ‘sun screen lotion’ kwa ajili ya watu wenye ualbino....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News