Serikali yaendelea kutoa ufafanuzi usajili wa simu

Na MAREGESI PAUL -DODOMA SERIKALI imesema mwisho wa kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole ni Desemba 31, mwaka huu, huku wasio na vitambulisho vya taifa wakiondolewa wasiwasi. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa mwongozo ulioombwa na Mbunge wa Viti Maalum, Felister Bura (CCM). Katika mwongozo wake, Bura alitaka kujua Serikali itachukua hatua gani kwa wananchi watakaoshindwa kusajili laini zao katika kipindi kilichowekwa  watakapokuwa hawana vitambulisho vya taifa. ”Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imetangaza kwamba kuanzia Mei...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News