Serikali Yagoma Kuwalipa Watumishi Waliofukuzwa Kazini Kwa Kuwa na Vyeti FEKI

Serikali imesema haitawalipa watumishi waliofukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti feki kutokana na udanganyifu huo.Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Aida Khenani bungeni jijini Dodoma leo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema serikali haijapanga kumlipa mtumishi yeyote ambaye mkataba wake ni feki.Akiuliza swali hilo, Aida amesema kabla ya kupunguzwa kwa watumishi hao waliodaiwa kuwa na vyeti feki, serikali ilikuwa na vyeti feki na hadi sasa kuna upungufu wa watumishi wa kiasi gani.“Serikali ya Tanzania inathamini zaid vyeti kuliko taaluma, kuna...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News