Serikali yaiangukia Benki ya Ulaya

NA AZIZA  MASOUD-DAR ES SALAAM SERIKALI  imeiomba Benki ya Mendeleo Ulaya (EIB) kuharakisha mchakato wa utoaji kibali  cha kupata mkopo wa fedha za kujenga viwanja vinne vya ndege vyenye hadhi ya kimataifa ili kuinua sekta ya miundombinu nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, alipokuwa akifungua mkutano wa 12 wa kupima utendaji wa sekta ya uchukuzi nchini. Alisema miezi 24 sasa imepita tangu waliposaini mkataba huo wa kupatiwa kibali cha kupata fedha hizo na benki hiyo. Mhandisi Kamwelwe alisema ucheleweshwaji huo unatokana na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News