Serikali Yampa ONYO Kali Mtendaji Mkuu Mabasi ya Mwendo Kasi Dar

Na.Alex Sonna,DodomaWaziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo, ametoa onyo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa usafiri wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es saalam Dart Mhandisi Ronald Lwakatare, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake na kumtaka kujieleza ni kwanini ameshidwa kumsimamia mtoa huduma UDART.Pia Mhe. Jafo amemwagiza Naibu Waziri wake Joseph Kakunda leo kufanya kikao kitakacho jumuisha mtendaji mkuu wa Dart pamoja na mtoa huduma UDART   ili kuweza kubaini matatizo makubwa ambayo yamekuwa yakichangia huduma hiyo kudorola kwa siku za hivi karibuni.“Usafiri...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News