Serikali yapandisha ushuru wa nywele za bandia (Mawigi)

Serikali imependekeza kupandisha kwa ushuru wa asilimia 10 kwa bidhaa za nywele bandia zinazozalishwa nchini na asilimia 25 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje nchi.Pendekezo hilo limetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020.Akizungumza Bungeni jijini Dodoma Waziri Mpango aLIeleza kuwa "napendekeza kutoza ushuru wa asilimia 10 kwenye bidhaa za nywele za bandia, zinazotengenezwa ndani ya nchi na asilimia 25 zazoagizwa kutoka nje ya nchi lengo ni kuongeza mapato ya Serikali."Mara baada ya Waziri Mpango kuwasilisha pendekezo hilo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News