Serikali yapiga ‘stop’ watumishi kuhama Dodoma

Na MWANDISHI WETU-DODOMA SERIKALI imepiga marufuku watumishi wa umma waliohamia Makao Makuu ya nchi Dodoma kwa gharama za Serikali kuomba uhamisho wa kurejea   Dar es Salaam. Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean Ndumbaro. Alikuwa akifanya mahojiano maalum na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusiana na   uhamisho wa watumishi wa umma kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Dk. Ndumbaro alisema ofisi yake imekuwa ikipokea barua mbili au tatu kwa siku za watumishi waliohamia Dodoma kuomba uhamisho wa kurejea Dar es Salaam...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News