Serikali yapiga marufuku Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha imepiga marufuku Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa mwanafunzi bila kibali maalum na pia amepiga marufuku Walimu kutembea na viboko.Ole Nasha ametoa agizo hilo wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve aliyetaka kujua kauli ya Serikali kwa Walimu wanaokiuka sheria za adhabu kwa Wanafunzi“Haitakiwi vizidi viboko vinne, hairuhusiwi kwa mwalimu yeyote yule kuchapa viboko, bali ni mwalimu mkuu tu, na lazima kiombwe kibali cha kufanya hivyo, ni marufuku mwalimu yeyote kumchapa mwanafunzi kinyume na taratibu na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News