Serikali yapigilia msumari makato ya asilimia 15, kwenye mishahara ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu

Serikali imeweka bayana kuwa haina mpango wowote wa kufuta makato ya asilimia 15, kwenye mishahara ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu nchini na itachukua hatua kali kwa wale wanaochelewesha kulipa fedha hizo wakati wapo kazini.Hilo limebainishwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof. Joyce Ndalichako leo Sep, 12, 2018 bungeni, wakati akijibu swali la mbunge wa Mbozi Pascal Haonga lililohoji juu ya ongezeko la makato ya wanufaika wa mikopo kutoka asilimia 8 hadi 15.Katika swali hilo Haonga alitaka kujua kwanini serikali isiingilie kati suala la kupandishwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News