Serikali Yatenga Zaidi Ya Tsh.bilioni 82 Kuendesha Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Mwaka Huu 2019.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Serikali imeandaa kiasi cha Sh.Bilioni 82,milioni 975 laki 9,na 94 elfu ,na mia 148 kwa ajili ya kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2019. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu waziri wa Ofisi ya Rais,TAMISEMI,Mwita Waitara wakati akijibu swali la mbunge wa Mtambile Masoud Salim aliyehoji ,mwaka 2019 utafanyika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mujibu wa Sheria ,je,serikali ina mkakati gani unaoendelea  katika maandalizi ya mchakato wa Uchaguzi huo. Katika Majibu yake Naibu waziri  wa Ofisi ya Rais TAMISEMI,Mhe.Mwita Waitara amesema katika kuhakikisha uchaguzi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News