Serikali yatoa kauli Watanzania kutakiwa kuondoka Kenya

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA KAULI iliyotolewa na Mbunge wa Starehe nchini Kenya, Charles Njagua akiwataka Watanzania na Waganda wanaofanya biashara nchini humo kuondoka ndani ya saa 24 vinginevyo watawatoa kwa nguvu, imeibua jambo bungeni. Kutokana na hali hiyo, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alitoa kauli ya Serikali akitaka Watanzania kuwa watulivu. Hata hivyo, mbunge huyo ambaye pia ni mwanamuziki, akifahamika zaidi kwa jina la Jaguar, alitumia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kudai kauli aliyoitoa iliwalenga Wachina ambao wamevamia masoko ya Wakenya kuendesha biashara zinazoweza kufanywa na Wakenya.  Akitoa kauli ya Serikali...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 26 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News