Serikali Yatoa Onyo Kwa Gazeti la Mwananchi, Citizen

Serikali  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa onyo kwa magazeti ya Mwananchi na The Citizen kwa kuyataka yajitafakari kwa kile ilichoeleza kuwa wameandika habari za “uongo wa karne”.Akitoa onyo hilo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi Hassani kupitia ukurasa wake wa Twitter, amesema kuwa magazeti hayo kwenye matoleo yake ya mtandaoni yalichapisha habari za uongo, huku wakitumia takwimu zisizo rasmi.Dr Abbasi ameandika; Ufafanuzi: Jana magazeti ya the Citizen na Mwananchi matoleo ya mitandaoni yalibeba habari iliyodai wahisani wametoa 6.7% tu kwenye bajeti. Habari hii ni uongo wa karne....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News