Serikali Yatoa Tamko Usajili wa Line za Simu Kwa Wasio na Vitambulisho Vya Taifa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema  vyombo vya dola vitandelea kuimarisha amani na utulivu wa Tanzania ili kuhakikisha shughuli za maendeleo zinazoendelea hivi sasa.Waziri Lugola ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati akitoa hoja kuhusiana na taarifa ya makadirio ya bajeti kwa wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020, ambapo amesema atahakikisha amani inalindwa."Wizara itaendelea kulinda amani na usalama wa nchi hii kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola na wadau wengine, kuwepo kwa utulivu ambao watanzania wanauona utaendelea kuwezeshwa na hakika shughuli za maendeleo zitaendelea kuimarika."...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News